Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MGOMO BARIDI KITUO CHA MAGARI MWENGE JIJINI DAR

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Abiria wakiwa wanashangaa Daladala zinapita kituo cha Mwenge jijini Dar es salaam bila kusimama, ikiwa ni siku ya kwanza wasafirishaji hao kuamriwa kutumia kituo cha Makumbusho ambacho inaelekea hawaafiki.

Kituo cha kwenda Tegeta , Kawe na Mbezi kikiwa Kitupu bila ya gari lolote kwenda na kupakia watu
Baadhi ya abilia wakitembea kwa mguu kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine, kutokana na waendesha daladala kuanzisha mgomo baridi.
Bajaji ndizo zimegeuka kuwa daladala na zinatoza kiasi cha Tsh 1000 tu kwa mtu mmoja mpaka Mwenge.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top