Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
|
Wanafunzi wa shule ya msingi iliyopo kata ya Mafumbo wakitoka mtoni kuchota maji ukosefu na huduma muhimu shuleni unasababisha kuvurugwa kwa ratiba za masomo . |
|
Ofisi ya kata imefurika watu ingawa hata hawa wanataka kuingia lakini hakuna nafasi. |
|
Hapa wananchi wanabadilishana mawazo kabla ya kufikia muafaka wa mgogoro huo, ambapo wafugaji na wakulima hao walikubaliana kuunda kamati ya kuchunguza ardhi inayodaiwa kuuzwa kinyume cha sheria. |
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.
Share habari hii kadri uwezavyo.