Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

Maadhimisho ya siku ya wanawake duniani.

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
                    HUYU NDIYE TGNP AKITOA RISALA YAKE KWA WALENGWA.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP-Mtandao), Bi. Lilian Liundi akitoa hotuba ya kuwakaribisha wageni mbalimbali na kuzungumza na washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP-Mtandao), Bi. Lilian Liundi akitoa hotuba ya kuwakaribisha wageni mbalimbali na kuzungumza na washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam.Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Bi. Zuki Njalai Mihyo (aliyesimama) akizungumza na washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na TGNP-Mtandao katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Bi. Zuki Njalai Mihyo (aliyesimama) akizungumza na washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na TGNP-Mtandao katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi Mtendaji mstaafu wa TGNP-Mtandao, Bi. Usu Mallya (aliyesimama) akitoa mada kwa washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania. Mkurugenzi Mtendaji mstaafu wa TGNP-Mtandao, Bi. Usu Mallya (aliyesimama) akitoa mada kwa washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania.Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP-Mtandao), Bi. Lilian Liundi (kulia) akichukua dondoo muhimu wakati wa uwasilishwaji mada anuai katika maadhimisho hayo. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP-Mtandao), Bi. Lilian Liundi (kulia) akichukua dondoo muhimu wakati wa uwasilishwaji mada anuai katika maadhimisho hayo.Washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani wakijumuika katika burudani huku wakionesha majarida anuai ya kupinga ukatili, unyanyasaji wowote wa kijinsia kwa wanawake nchini Tanzania. Washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani wakijumuika katika burudani huku wakionesha majarida anuai ya kupinga ukatili, unyanyasaji wowote wa kijinsia kwa wanawake nchini Tanzania.Baadhi ya washiriki anuai wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na TGNP-Mtandao wakifuatilia mada zilizowasilishwa katika maadhimisho hayo. Baadhi ya washiriki anuai wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na TGNP-Mtandao wakifuatilia mada zilizowasilishwa katika maadhimisho hayoBaadhi ya washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani wakijisajili kabla ya kujumuika na wenzao katika maadhimisho. Baadhi ya washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani wakijisajili kabla ya kujumuika na wenzao katika maadhimishoKaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP-Mtandao), Bi. Lilian Liundi (wa kwanza kulia) akitoa hotuba ya kuwakaribisha wageni mbalimbali na kuzungumza na washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Bi. Zuki Njalai Mihyo akichukua dondoo muhimu. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP-Mtandao), Bi. Lilian Liundi (wa kwanza kulia) akitoa hotuba ya kuwakaribisha wageni mbalimbali na kuzungumza na washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Bi. Zuki Njalai Mihyo akichukua dondoo muhimu.Baadhi ya washiriki wenye ulemavu wakifuatilia maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani. Baadhi ya washiriki wenye ulemavu wakifuatilia maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.Katika maadhimisho hayo baadhi ya wajasiriamali walijitokeza kuonesha bidhaa zao kwa washiriki. Katika maadhimisho hayo baadhi ya wajasiriamali walijitokeza kuonesha bidhaa zao kwa washiriki.Baadhi ya viongozi wa vyama anuai vya wanawake wenye ulemavu wakifuatilia maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani. Baadhi ya viongozi wa vyama anuai vya wanawake wenye ulemavu wakifuatilia maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top