karibu sana ndugu mpendwa msomaji wa habari zangu, leo nimekuletea report moja nzuri sana, ambayo si yakukosa. nazungumzia juu ya uzalishaji wa mbegu bora za kilimo ambazo ni mpya.
Mbegu izi ni nyingi mno, lakini kwa siku ya leo nita anza na mbegu moja kwanza. mbegu yetu ya leo inaenda kwa jina la MBEGU CHOTARA YA UKANDA WA CHINI.
Mbegu hii ni mpya kabisa ambayo itakuwa mkombozi wa wakulima ambao ni wakazi wa ukanda wa chini. ukanda wa chini ni eneo la wakazi wa dar es salaam na pwani nzima kwa ujumla wake.
Kwaiyo kama kuna watu wenye maeneo yao na wangependa sana kulima, basi tunawashauri watumie mbegu hii kwa ajiri ya kupata matokeo yaliyo bora.
Mbali na utambulishaji wa mbegu hii mpya aina ya chotara ya ukanda wa chini, kuna mbegu zingine ambazo ni mpya zenye uwezo wa kutumika kwenye maeneo tofauti tofauti hapa nchini Tanzania kwa ajili ya kutoa matokeo mazuri kwa wakulima wetu.