Habari zilizo tufikia ivi punde zinasema kwamba gari la wachezaji wa timu ya yanga, limepata ajari baada ya kuacha njia na kuserereka mpaka nje ya barabara. tukio hili limetokea katika eneo la Mikese uko katika mkoa wa Morogoro. bahati nzuri nikwamba hakuna mtu yeyote aliye umia wala kujeruhiwa.
Loading...
GARI LA WACHEZAJI WA TIMU YA YANGA LA PATA AJALI.
Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.
Post a Comment
CodeNirvana
Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.