Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

Young killer na Jeshi la police Tanzania.

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Young killer juzi kati amenyang’anywa pensi aliyokua amevaa…pensi hiyo yenye rangi za kijeshi alivuliwa huko mwanza kipindi akipita karibu na kambi moja ya jeshi huko jijini mwanza.. young killer alipost picha hii kisha kuandika maneno haya mtandaoni....
Jeshi..letu la tanzania .na wasifu..xana wako silias xana na kazi yao...jana jion..wamefanikiwa kunivua hii pensi yao..ambayo mim..niliipenda kwa dhat kuliko nguo zote nilizo nazo nyumbani..R.I.P..pensi yangu..
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top