Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

Matokeo ya kidato cha nne 2013, aya hapa.

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Matokeo ya kidato cha nne 2013, unaweza kuangalia kupitia hapa
Baraza la Mitihani la Tanzania limetangaza matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2013 na kiwango cha ufaulu Kimeongezeka kwa asilimia kati ya 0.61 na 16.72 ukilinganisha na mwaka 2012. 
Jumla ya watahiniwa laki 235,227 sawa na asilimia 58.25 ya waliofanya mtihani wamefaulu. 
Wanafunzi 74,324 sawa na asilimia 21.09 wamefaulu katika madaraja ya I -III.
Wavulanawaliopata daraja la kwanza (division one) ni 5,030 na wasichana ni 2,549
Waliopata daraja la pili (Division 2) Wavulana ni 14,167 na wasichana ni 7,561
Waliopata daraja la pili (Division 2) Wavulana ni 14,167 na wasichana ni 7,561.  Wavulana waliopata daraja la tatu (Division 3) ni 27,904 na wasichana ni 17,113.
Jumla ya wanafunzi waliopata daraja la 4 (division 4) ni laki 126,828, wasichana wakiwa 62,841 na wavulana 63,987.
Jumla ya wanafunzi laki 151,187 wamepata '0' (division ziro) . Wasichana ni 72,237 na wavulana ni 78,950.
BOFYA HAPO CHINI KUANGALIA MATOKEO YENYEWE VIZURI ZAIDI.
http://41.188.155.122/CSEE2013/olevel.htm
AU WAWEZA KUTUMIA WESITE HII YA
         http://www.necta.go.tz/
Wanafunzi 10 bora matokeo kidato cha nne 2013 ni:
1. Robina S Nicholaus (Marian Girls - Pwani)
2. Magreth Kakoko (St. Francis Girls - Mbeya)
3. Joyceline Leonard Marealle (Canossa - Dar-es-salaam)
4. Sarafina W. Mariki (Marian Girls - Pwani)
5. Abby T Sembuche (Marian Girls - Pwani)
6. Sunday Mrutu (Anne Marie - Dar-es-salaam))
7. Nelson Rugola Anthony (Kaizirege - Kagera)
8. Emmanuel Mihuba Gregory (Kaizirege - Kagera)
9. Janeth Urassa (Marian Girls - Pwani)
10. Angel Ngulumbi (St. Francis Girls - Mbeya).
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top