Kim Kardashian akiwa nafanya manunuzi ya nguo za mtoto wake. angalia vizuri picha yake hapo katika upande wako wa kulia, je kwa mtazamo wako huyo kim yuko dukani au yuko mtaani kwa machinga ndipo anapo mfanyia mwanae shopping?
kwa mtazamo wangu mimi kama mimi naona mwana dada huyu kulingana na mazingira jinsi yanavyo jionesha nikwa mba yuko mtaani kwa machinga ndipo anapo mfanyia mwanae shopping yake, lakinimbali na hapo, inatupasa tuludishe mawazo nyuma kwamba,
kulingana na mazingira ya maari alipo mwana dada huyu Kim, kitendo cha kumfanyia mwanae manunuzi ya nguo mtaani sio jambo la kushangaza, maana endapo mtoto akisha pewa zawadi yake, chakwanza ataanza kumshukuru mama kasha atamaliza kwa kufuraia kwa zawadi aliyo pewa.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies