Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MADHALA YAKUVUTA SIGARA.

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
MADHALA YAKUVUTA SIGARA.
Kila sekunde nane, mtu mmoja hufariki kutokana na utumizi wa tumbako. Imebainika kuwa saba kati ya wavutaji sigara kumi, huanza uraibu huu wakiwa wangali watoto. 

Wanaoendelea kuvuta sigara kwa muda mrefu hufupisha maisha yao kwa miaka 20 hadi 25. Sababu ni kuwa sigara ina kemikali zaidi ya 4,000 ambazo zina uwezo wa kudhhuru afya ya binadamu. Madhara yanayosababishwa na uvutaji sigara ni mengi na yamesambaa mwilini kote. 

Yafuatayo ni baadhi tu ya maradhi yatokanayo na utumiaji wa tumbako.

1.Kung’oka kwa nywele
2.Magonjwa ya macho
3.Kukunjana kwa ngozi
4.Magonjwa ya masikio

5.Saratani ya ngozi
6.Magonjwa ya meno
7.Magonjwa ya mapafu
8.Mifupa

9.Ugonjwa wa moyo
10.Vidonda vya tumboni
11.Vidole
12.Wanawake

13.Wanaume
14.Magonjwa ya ngozi
15.Ugonjwa wa ‘Buerger’
16.Saratani.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top