Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

Habari-Rais Wa Marekani Barrack Obama amekiagiza kitengo cha ujasusi nchini humo kusitisha ukusanyaji wa habari kutoka kwa simu za ndani na mataifa ya kigeni.

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Rais Wa Marekani Barrack Obama amekiagiza kitengo cha ujasusi nchini humo kusitisha ukusanyaji wa habari kutoka kwa simu za mamilioni ya raia nchini humo na hata katika mataifa ya kigeni.

Akizungumza mjini Washington Obama pia amewaahidi viongozi wa nchi washirika wa Marekani kwamba taifa lake halitachunguza mawasiliano yao ya faragha hadi itakapolazimika kufanya hivyo kutokana na maswala ya ki-usalama.Tangazo hilo linajiri wakati ambapo kuna hasira ya kimataifa kuhusiana na kiwango cha upelelezi unaofanywa na Marekani kufuatia ufichuzi wa siri za kitengo hicho uliofanywa na aliyekuwa mchambuzi wa maswala kijasusi nchini humo Edward Snowden.

Mwandishi wa BBC mjini Washington amesema kuwa makundi ya wanaharakati watashangazwa na hatua ya kitengo hicho kuendelea kumiliki habari nyingi za simu walizokusanya na kwamba haijulikana watazifanyia nini habari hizo.Hadhi ya kitengo cha ujasusi nchini marekani imeshushwa na ufichuzi wa bwana Snowden.Wakati huohuo hotuba ya rais Obama kuhusu mabadiliko ya mpango wa upelelezi wa marekani yamepongezwa nchini Ujerumani.

Uhusiano kati ya Berlin na Washington uliwekwa katika mizani mwaka uliopita baada ya kubainika kwamba marekani ilidukua simu ya chansela wa Ujerumani Angela Merkel.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top