Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

BOMU LAUWA WATU NCHINI KABUL.

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Jumuia ya kimataifa imelaani vikali shambulio la kujitolea mhanga kwenye mkahawa wa mji mkuu wa Afghanistan, Kabul, ambao liliuwa watu kama 21 - wengi wao wageni.

Waziri wa mambo ya ndani wa Afghanistan, Mohammad Omar Daudzai, amesema maafisa kadha wa serikali ya mitaa wamesimamishwa kazi na uchunguzi unafanywa.Kati ya waliokufa ni afisa mkuu wa Shirika la Fedha la Dunia, IMF, nchini Afghanistan, Wadel Abdallah, pamoja na wafanyakazi wane wa Umoja wa Mataifa.

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amelaani shambulio hilo kuwa kitendo cha kutisha.Mkahawa huo uko katika mtaa wa Kabul wa watu wanaojiweza na ukipendwa na wageni na maafisa wa serikali.

Taliban wamesema wamehusika na shambulio hilo.Wageni 13 kutoka Marekani, Canada, Urusi, Libnan na Uingereza wameuwawa - na wengine ni raia wa Afghanistan.Taarifa zinasema kuwa mshambuliaji alijiripua kwenye mlango wa mkahawa.Baada ya mripuko watu wawili waliwafyatulia risasi ambao walikuwa ni wateja katika mkahawa huo.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top