Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

Congo yaiadhibu Ethiopia

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
CHAN:Congo yaiadhibu Ethiopia
Saa 3 zilizopitaMshirikishe mwenzakoMichuano ya CHANJamhuru ya Kidemokrasia wa Congo imefanikiwa kuishinida Ethiopia katika michuano ya CHAN baada ya kuicharaza bao moja bila Ijumaa.

Mkwaju wa Rudy Ndey katika kipindi cha pili cha mechi hiyo uliipatia Congo ushindi na kuiacha Ethiopia ikishikilia mkia katika timu za kundi C.Katika mechi za awali, Libya ilitoka nyuma na kwenda sare ya bao moja dhidi ya Ghana na kusalia juu ya orodha kutokana na tofauti ya magoli, ingawa timu zote ziko na pointi nne.Libya sasa itamenyana na Congo katika mechi za mwisho za makundi huku Ghana wakicheza na Ethiopia.

Congo iliibuka mshindi katika mechi ya mwisho ya Ijumaa licha ya , Ethiopia kucheza bora zaidi.Waipoteza nafasi nyingi sana hata kupitia kwa mchezaji Omod Omod akipoteza nafasi ya kuingiza bao.Na kwa hivyo wakaadhibiwa wakati wa dakika ya 78 wakati Ndey aliingiza bao la pekee la Congo kutokana na pasi murwa sana ya Hardy Binguila.

Katika kundi la C, Yahaya Mohammed aliingizia Ghana bao lake la pekee, ingawa alikosa nafasi kadhaa za kuingiza mabao mengi tu.Baada ya kipindi cha mapumziko Libya nayo ilijikaza kisabuni na kuingiza bao moja na hivyo kwenda sare.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top