Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

WATU KADHAA WANADHANIWA KUPOTEZA MAISHA JANA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Inafikiriwa kuwa watu kadha waliuwawa katika mashambulio yaliyofanywa na wale wanaoshukiwa kuwa wapiganaji Waislamu kaskazini mwa Nigeria hapo jana.
Wakaazi wa huko wanasema wapiganaji wa Boko Haram walikuwapo kwa saa sita, wakiuwa watu na kuchoma moto vijiji.
Inasemekana kati ya waliouwawa ni askari wa usalama. Baadae wanajeshi na ndege zilipelekwa katika eneo hilo na mtu mmoja aliyeshuhudia tukio hilo, anasema maiti za wapiganaji kadha zimekutikana nje ya vijiji.
Mashambulio hayo yalifanywa karibu na Chibok ambako wapiganaji waliwateka wasichana wa shule zaidi ya 200 mwezi Aprili.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top