Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

SONY HiFi BRAVIA

Pata bidhaa zenye uhakika wa ali ya juu pamoja na warrant ya miaka miwili kutoka SONY HiFi BRAVIA.tunauza Tv flatScreen 55Inch-22Inch,FREDGE,Home,Theater system, camera,video camera,memory cards,ipod,radio za magarimajiko ya umeme na gesi, Navitu vinginevyo vingi sana kulingana na matumizi yako.
Tupo,QUALITY CENTRE ndani yasupermaket ya UCHUMI,kwa mawasiliano piga namba zifuatazo.0718-637571 na 0717-513145.wote mnakaribishwa

SWALI KWA WASOMAJI


kwanini ajira imekuwa ngumu?

SIO KILA KITU WA LALAMIKIWE MANISPAA AU JIJI.

Watanzania tumekuwa na tabia ya kila kitu kuilalamikia mamlaka usika.lakini vitu vingine ebu tujiulize,izo mamlaka tunazo zitupia izo lawama je wanafanya mangapi ambayo hatuyasifii?
napenda nitoe mfano mmoja wa awa akina mama ambao wanafanya biashara kando kando ya barabara,wao wafanya biashara katika eneo husika kisha wanaondika pasipo kupafanyia usafi.ila kesho ukifika tena katika eneo ilo ilo,utawakuta wakiwa wanaendelea na kazi zao uku eneo ilo likiwa nichafu,na ukuiliza utajibiwa ivi:
"watu wa jiji/manispaa hawaji kufanya usafi katika eneo letu" je ayo niyakweli ndugu zanguni? ebu angalieni picha apo chini mkajionee wenyewe,ilo nieneo ambalo wakina mama uwa wanafanyia kazi kila siku ya Mungu.na wanapata liziki mungu ana wajalia je kwanini wasilifanyie eneo lao linalo waingizia kipato usafi?
jiji au manispaa wameweka sehemu za kuifadhi takataka je wangapi wanazitumia?
 karibu ndugu uchangie mada hii, waweza kuwa na mtazamo tofauti juu ya yaliyo zungumzwa.
      KARIBU SANA MDAU WETU.

SERA ZA NCHI ZINAWANUFAISHA AKINA NANI KWANZA?

Ilo ndio swali ambalo kila siku uwa najiuliza sana tena sana.Ivi kwa nini kila ,mpango unao pangwa na serikali uwa unaanzia kutoa matunda katika ngazi za juu?

 Sitaki nilizungumzie sana ili, napenda nikupe na wewe nafasi ya kuchangia,yawezekana unayo mengi ya kuchangia.

                    KARIBU NDUGU MWANA JAMII.

KAZI NI KAZI

Watu hawafanyi kazi eti kisa wanaogopa kuchekwa na wenzi wao,wakati uku wakiwa wamesahau kuwa kazi ni kazi maana atakama utakuwa unafanya kazi ambayo unaona si nzuri kwa marafiki zako,mwisho wa kazi yako utakacho kipata wale waliokuwa wanakucheka ndio wa kwanza kuja kukuomba uwasaidie kiasi fulani cha pesa.
 
JE KUNA ULAZIMA AU UMUHIMU WA SISI VIJANA KUCHAGUA KAZI ZA KUFANYA ILI ZITUINGIZIE KIPATO?
mutalemwa-masgider.blogspot.com
Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top