Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MSANII TUNDAMAN APATA AJALI MBAYA SANA, ZAIDI BOFYA HAPA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Muimbaji wa Tip Top Connection, Tundaman, amepata ajali mbaya ya gari Jumapili hii.

Ajali hiyo imetokea katika eneo liitwalo Idetelo, Nyololo katika mji wa Makambako wakiwa kwenye gari aina ya Toyota Aurion.

Aliyekuwa dereva wa gari hilo amepoteza maisha na mwili wake umehifadhiwa kwenye hospitali ya wilaya ya Mufindi.

Meneja wa kundi hilo, Babutale amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.

“Nimepokea simu nyingi za kuulizwa hali ya msanii wangu @tundamantz mungu mkubwa ametoka salama ingawa wamepata mtihani mkubwa wa kumpoteza dereva aliyekua anaendesha gari yao amefariki Hapo Hapo. Kazi yake mola aina makosa,” ameandika Tale kwenye Instagram.

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top