Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MESSI AIPINGA VIKALI KAURI YA MANUEL NEUER

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
BARCELONA, HISPANIA. SIKU moja kaba ya mchezo wa juzi wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kati ya Barcelona dhidi ya Bayern Munich, mlinda mlango wa Bayern, Manuel Neuer, alisema kuwa katika mchezo huo atahakikisha Messi hapati bao.

Neuer alisema, atamuonesha kuwa yeye ni nani katika soka na jinsi anavyoweza kulinda lango kama ilivyokuwa katika mchezo wa fainali Kombe la Dunia mwaka jana.
“Nitamuonesha mimi na yeye nani zaidi, nitahakikisha hapati bao kama ilivyo katika fainali za kombe la dunia nchini Brazil mwaka jana,” alisema Neuer, kabla ya mchezo wa juzi. 

Mshambuliaji hatari wa Barcelona, Lionel Messi ameikataa kauli hiyo juzi, baada ya kupachika mabao mawili katika ushindi wa mabao 3-0. Haikuwa kazi rahisi kwa mchezaji huyo kuweza kupata bao, lakini kutokana na ubora wake alifanikiwa kutumia vitendo kuweza kumnyamazisha mlinda mlango huyo namba moja wa timu ya taifa ya Ujerumani na klabu ya Bayern.

Messi mbali ya kufunga mabao mawili, lakini alifanikiwa kutoa pasi ya mwisho ambapo mshambuliaji mwenzake, Neymar kupachika bao katika dakika ya 90. Mshambuliaji wa zamani wa timu ya Arsenal, Thierry Henry, amemsifia Messi na kusema kuwa “Hakuna swali juu ya uwezo wa mchezaji huyo kwa kuwa kila siku anaelezewa ubora wake.”

Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    
In order you follow me just click one of the Icon Button above.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top