Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

GODBLESS LEMA ASEMA HAJAONA MPINZANI WAKE

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema), amesema hajaona mgombea ubunge mwenye uwezo wa kupambana naye kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu.

Kutokana na hali hiyo, amewataka wananchi wa jimbo hilo wajiandikishe kwa wingi katika Daftari la Kudumu la Wapigakura ili waweze kukiondoa Chama Cha Mapinduzi (CCM) madarakani.

Lema aliyasema hayo juzi mjini hapa, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari. “Hali ya usalama na kisiasa Arusha ni nzuri, CCM hawapo Arusha. Kwa hiyo sina wasiwasi, tutawashinda kwa kura nyingi kuliko tulivyowahi kuwashinda.
“Lengo langu siyo Lema kushinda hapa, bali lengo ni Lema kuwezesha majimbo ya jirani kuongozwa na Chadema kwa sababu uwezo wangu na nguvu zangu siyo za kupambana katika jimbo kama Arusha Mjini.

“Hili jimbo nitaendelea kuliongoza, hakuna mtu wa kunishinda, bado nitaendelea kuongoza kwa sababu sijapata wa kupambana naye kutoka CCM,” alisema Lema.

Akizungumzia Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Lema alisema wanatarajia kuwa na mkutano wa hadhara katika viwanja vya Ngarenaro, mjini Arusha siku ya kesho.

Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    
In order you follow me just click one of the Icon Button above.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top