Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

AFARIKI DUNIA BAADA YA KULIWA NA SIMBA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Mkulima mmoja mkazi wa Kijiji cha Mlima kilichopo Kata ya Mwakijembe, wilayani Mkinga, Mkoa wa Tanga, Silyvester Msubari, amefariki dunia baada ya kuliwa na simba.
Mkuu wa Wilaya ya Mkinga, Mboni Mgaza, alisema jana kuwa mkulima huyo aliuawa juzi alfajiri wakati alipokuwa shambani kwake akilinda mazao yake yasiharibiwe na wanyama.
“Siku ya tukio, marehemu alikuwa shambani kwake akilinda mazao yake yasiharibiwe na wanyama. “Wanyama hao wamekuwa wakizagaa mashambani kwa sababu Kata ya Mwakijembe inapakana na Hifadhi ya Mkomazi yenye wanyama mbalimbali.

“Kwa hiyo nawaomba wananchi wawe na tahadhari muda wote pindi wanapokwenda mashambani kulinda mazao yao ili wanyama wakali wasiwadhuru.

“Ikibidi wananchi wawe katika makundi ili wanyama wakali wakiwavamia iwe rahisi kwao kukabiliana nao vinginevyo watazidi kupoteza maisha,” alisema Mgaza.

Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    
In order you follow me just click one of the Icon Button above.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top