Matukio ya ajabu yazidi kutokea katika eneo hili, bofya hapa kujua ni wapi.
wake wawili wa mme mmoja waanzisha vitimbwi vyao.
Mke mdogo adaiwa kuwa yeye ndio chanzo cha matatizo, ambapo mke mkubwa hakuwa na tatizo ila alikuja kuchukua maamzi mazito baada ya mke mdogo kuanza kumchokonoa mke mkubwa.
Inasemekana mke mdogo aliamua kuchukua uamzi wa kuanza kumtupia mke mkubwa majini ili amuuwe, na baada ya mke mkubwa kugundua kuwa anafanyiwa mpango wa kuuliwa ndipo na yeye aliamua kufanya mashambulizi ya kummaliza yule anayetaka kummaliza yeye.
Akiwa katika hali ta kujiamini kabisa mke mkubwa aliamua kufunga safari na kuelekea mkoani kwao na baada ya kurudi jijini hapa ndio mambo yalianza kuwaka moto kwa mke mdogo a.k.a bimdogo.
Baada ya bimdogo kumtupia jini bimkubwa a.k.a mke mkubwa ikiwa ni mala ya pili bila kuona mafanikio yeyote yale, ndipo mke mkubwa aliamua kumpigia simu mke mdogo mwenza na kumwambia kuwa kuna mzigo unakuja.
Baada ya dakika moja tu mke mdogo alianza kusikia kicha chake kinawaka moto kikiambatana na maumivu yasiyo ya kawaida.
Kisha baada ya mda mfupi kupita mke mdogo alipokea simu tena kutoka kwa mke mkubwa mwenza akiambiwa maneno yafuatayo
''uo ni mwanza tu ila kaa ukijua kuwa nita acha kazi hii endapo nitakapo ona kaburi lako mbele ya macho yangu sehemu"
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.