Bwana na bibi harusi Gypsy Taub na Jaymz Smith walifunga ndoa katika harusi ya aina yake ambapo wanaharusi hao walikuwa uchi wa mnyama. Harusi hiyo ilifanyika katika jiji la San Fransisco, California, nchini USA na ilishuhudiwa na umati wa ndugu, marafiki, na watu wengine waliotaka kujionea.
Maharusi hao wakidansi uchi baada ya kufunga ndoa. Tukio hili lilijiri mwaka jana mwishoni ila nimeona nirudie kuipost hii kutokana na maombi ya wengi! Video yao inapatikana kupitia hapa.
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.