Vijana kwa wazee siku izi tumekuwa watumwa wa mtandao wa utandawazi na kumsahau Mungu wetu, ivi kweli tunatenda haki kwa kufanya ivi?? kwa mfano ebu mtazame mtoto hapo chini kwenye picha na vuta hisia kwa mazingira ya kwaida je unajisikiaje?.
Ushauri wangu kwako nikwamba tumludie Mungu jamani, atakama huna nafasi ya kwenda kusali kanisani au msikitini basi chukua mda kama dakika 2 na uzitumie kumuomba Mungu wako kwa mambo mema anayokutendea.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgqkfvdsCQnPtVtdB1BRo8WNnIXPkLftFAgnwnEsIn6wi5e6a3eWRGwII7wh1RRZiR7YnhR6IfHZu2S-L5TKd4i4JeqIXAZnEeqqNhmqdzjNYA4Q76BTKpB9MmvWIsr0dnAZXNg5DJSgT0/s200/FLASH+NECTA.gif)
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.