Magari makubwa yakiwaka moto baada ya moto huo kuzuka maeneo ya Kasumbalesa, mpakani mwa Zambia na Kongo.
Ajali mbaya ya moto imetokea jana majira ya saa kumi na moja jioni maeneo ya Kasumbalesa, mpakani mwa Zambia na Kongo.
Picha tofauti juu zikionesha baadhi ya majeruhi wa ajali hiyo ya moto, chanzo cha ajali hii ni baada ya kugongana kwa magari mawili yamafuta, ambapo gari la kwanza lilikuwa ni mali ya mtanzania na wakati gali la pili likiwa ni mali ya wazambia.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgqkfvdsCQnPtVtdB1BRo8WNnIXPkLftFAgnwnEsIn6wi5e6a3eWRGwII7wh1RRZiR7YnhR6IfHZu2S-L5TKd4i4JeqIXAZnEeqqNhmqdzjNYA4Q76BTKpB9MmvWIsr0dnAZXNg5DJSgT0/s200/FLASH+NECTA.gif)
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.