Siku zote hakikisha kuwa ujenzi wa msingi wa nyumba yako ni tofauti kabisa na ujenzi wa kuta za nyumba yako, maana kiwango kinachotakiwa kwenye ujenzi wa msingi nikikubwa zaidi kuliko kiwango cha ujenzi wa kuta za nyumba nzima (Kiwango namaanisha ratio kati ya Cement na Mchanga)
Acha kubabaika, jenga nyumba nzuri na ya kisasa kwa bei nafuu kabisa.
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.