Kamapuni ya mavazi ya Versace wametoa T-shirts maalum kabisa kwa ajili ya kuvaliwa wakati huu wa kombe la dunia.
T-shirts hizo ambazo zimeanza kuuzwa kwenye mtandao zinauzwa kwa bei ya $690 na £410 kulingana na size na material yaliyotumika kutengeneza.
Fulana hizo zimepewa jina la “Versace Loves Brazil T-shirt”.
Jiunge na mi kwa kubonyeza kwenye link zifuatazo chini ili kupata habari mpya zaidi.
FACEBOOK >>> TWITTER >>> MATUKIO KWA NJIA YA SAUTI