Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

SALAM ZA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI.

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Kwa heshima kubwa na unyenyekevu,bendi ya muziki wa dansi  "Ngoma Africa Band" yenye makao nchini Ujerumani,inatoa salam maalumu za kuwapongeza,
Mama zetu,Dada zetu,Shangazi zetu akina mama wote katika kusherehekea siku

ya WANAWAKE duniani, salamu hizi maalumu kutoka kwa watoto wenu Ngoma Africa band zina wito kwa walimwengu wote duniani kote kwa usemi huu usemao
 "HAKUNA MTAKATIFU au MTUKUFU hapa duniani hasiyezaliwa na MWANAMKE (Mama) "  KWAIYO TUWAPENDE SANA MAMA ZETU.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top