Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

Ndege aina ya MH370 ya Malaysia ilibadili mkondo wake.

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Saa 3 zilizopitaMshirikishe mwenzakoNdege ya Malaysia iliyotowekaMkuu wa jeshi la anga la Malaysia, amekanusha madai kuwa ndege ya Malaysia iliyotoweka, ilionekana mara ya mwisho Magharibi ya rasi ya nchi hiyo, eneo ambalo ni mbali zaidi na njia iliyostahili kupita.Generali Rodzali Daud, amesema kuwa hawawezi kupuuza uwezekano huo, lakini amesema madai kuwa mawasiliano ya ndege hiyo yalinaswa na mtambo wa radar katika eneo hilo sio kweli. 

Amesema mawasiliano ya mwisho ya ndege hiyo iliyokuwa ikitoka Kuala Lumpur kuelekea Beijing yalinaswa katika rasi iliyoko kati ya Malaysia na Vietnam.Ndege na meli kadhaa zimekuwa zikitafuta mabaki ya ndege hiyo katika eneo la bahari ya Malaysia, lakini hazijafanikiwa kupata mabaki ya ndege hiyo.Msako unaendeleaJeshi la Malaysia limesema kuwa, mtambo wake wa radar unaashiria ndege hiyo iliyotoweka, ilielekea eneo la Magharibi, mbali na njia iliyostahili kupita kabla ya kutoweka.

Ndege hiyo MH370 ilitoweka siku ya Jumamosi, baada ya kupaa ikiwa na abiria mia mbili na thelathini tisa.Juhudi za kimataifa za kutafuta ndege hiyo zimepanuliwa na kuimarishwa.Awali ilibainika kuwa watu wawili waliokuwa wakisafiri kwa kutumia paspoti zilizoibiwa walikuwa raia wa Iran ambao hawana uhusiano na kundi lolote la Kigaidi.Ndege ya Malaysia iliyotoweka kabla ya kutoweka siku ya Jumamosi.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top