Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

Afya ya jamii-MAMBO 10 MUHIMU YA KUJUA KUHUSU "VIZUIZI MIMBA/CONTRACEPTIVES/UZAZI WA MPANGO"

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

CondomsHuwezi kupata mimba kama ukifanya mapenzi wakati uko katika siku zako/mweziniWanawake wengi wanaamini kwamba ukifanya mapenzi wakati ukiwa mwezini na bila kutumia mpira otherwise unless unatumia vidonge basi huwezi kupata mimba. 

Watu wengine hujaribu mara tuu wanapomaliza siku zao na wengine mara kabla tuu ya kuingia mwezini. Well, ukweli ni kwamba anytime katika mwezi ukifanya mapenzi bila kutumia kinga yoyote sio kwamba tuu unaweza kupata mimba bali hata magonjwa ya zinaa. 

Hivyo kuwa makini and fikiria kama hujatenda tendo. Kumbuka kwamba shahawa (sperm) huweza kukaa mwilini kwa mwanamke hadi siku 5 baada ya kumwaga LOL.Kumnyonyesha mtoto maziwa ya mama yanasaidia kutokumfanya mwanamke kupata mimba. Hii inaukweli kidogo ila sio 100%. Mwanamke anapokuwa ananyonyesha mara kwa mara (yaani regularly/daily) ovulation na kuwa mwezini kunapungua na wakati mwingine mwanamke anaweza asiingie kabisa mwezini (kila mwanamke ni tofauti). 

Hatahivyo, mwanamke hurudia cycle yake ya kawaida na kuanza kuingia tena mwezini na kuovulate. Wakati mwingine hii process inatokea kwa kushtukiza, hivyo basi, kama mchezo ulikuwa ni wakuto kujikinga then unaweza kupata mimba mara baada ya muda mfupi. Mara nyingi wanawake wengi huamini kwamba ukijifungua huwezi kupata mimba right away hata ukifanya mapenzi bila kutumia kinga. Hii si kweli.

1.Siwezi kupata mimba kama mwanaume kutoa kabla haja mwaga shahawa(sperm).Wanawake wengi huamini huu msemo. Fact ni kwamba sio kweli. Unaweza kupata mimba. Kabla mwanaume haja mwaga shahawa, hutoa majimaji ya kwanza (lubricating fluid) ambayo katika hii fluid kunakuwa pia na shahawa.

2.Kutumia maji yaliyoandaliwa ya kuoshea uke (douches)  baada ya kufanya mapenzi.

3.Kuoga ama kuosha ndani ya uke baada ya kufanya mapenzi hakusaidii kuzuia kutopata mimba hii ni kwasababu shahawa wameshakimbilia kwenye yai la mwanamke tayari kufanya mamboz.contraceptives.

4.Siwezi kupata mimba kama ndo mara yangu ya kwanza kufanya mapenzi. Kama umeshavunja ungo, huna pakukimbilia bali kuvaa mpira wakati wa kufanya mapenzi yenu wewe na mwenza wako.

5.Mara nyingi wasichana wadogo tena ndo wanakuwa more fertile na huweza kupata mimba haraka kuliko wanawake/watu wazima. Hivyo kuwa makini.
Usidanganyike pale mkaka anapokwambia you wont get pregnant just this one time.Natumia vidonge hivyo siwezi kupata mimb. japokuwa vidonge vya kuzuia mimba ni njia moja wapo inayojulikana, kumbuka kwamba vidonge haviwezi kukusaidia kutokupata Magonjwa ya zinaa ama hata Ukimwi. Hata pia wakati mwingine vidonge kama havijatumiwa vizuri bado msichana anaweza bado kuwa hatarini kupata mimba.

6.Nilifanya mpenzi mara moja tuu bila kutumia kinga. Usidanganyike. Kitu chochote huweza kutokea wedha ni magonjwa ama mimba na kusababisha majuto ya maisha.

7.Mi ni mtu mzima sana siwezi kupata mimba nikifanya mapenzi bila kutumia kinga. Kama bado unapata siku zako za mwezi/unaingia mwezini basi kuwa mwangalifu. 

8.japokuwa tafiti zinaonyesha kwamba miaka ya mwanamke invyozidi kwenda ndo jinsi fertility yake inavyozidi kupungua hii haimaanishi huwezi kupata mimba. Unaweza kuamini hivyo kama tuu wewe ni mtu mzima sana na umeshakosa kuingia mwezini kwa muda wa hadi mwaka mzima.

9.Sifanyi mapenzi sana hivyo siitaji kutumia kinga. Hii si kweli, utalia kama hukuplan kuwa mama mtoto kabla ya wakati wake. Ushauri mkuu ni kutumia kinga i.e. condom ama Today Sponge.

10.Nimekuwa na matatizo mengi yanayoashiriana na kuwa mwanamke hivyo siwezi kupata mimba nisipo tumia kinga. Labda kama docta wako ndo amekushauri hivyo otherwise ili kuwa safe, tumia kinga siku zote.      
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top