Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

Mastaa mguu nje, mguu ndani England

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Tetesi zilizopo ni kuwa Luis Suarez anakaribia kwenda Real Madrid, jambo hilo linawanyima usingizi viongozi wa Liverpool ambao wameapa kumsajili.

     KUTOKA MAJUU
 LONDON, ENGLAND
PILIKA PILIKA za usajili zinaendelea. Kuna wachezaji ambao wanakaribia kunaswa na kuna wengine hawana dalili yoyote.

Wachezaji wa aina hiyo huishia kutajwa tu. Makala hii inachambua mastaa ambao wanakaribia kutua au kutimka katika siku za karibuni.

 Henrikh Mkhitarayan (Shakhtar Donetsk kwenda Liverpool)
Liverpool imekuwa ikimsaka mchezaji huyo kwa muda mrefu na kuna kila dalili kuwa Mkhitarayan mwenye umri wa miaka 24 atatua kwenye kikosi cha Anfield.
Tetesi zilizopo ni kuwa Luis Suarez anakaribia kwenda Real Madrid, jambo hilo linawanyima usingizi viongozi wa Liverpool ambao wameapa kumsajili.

Mchezaji huyo amefunga mabao 42 kwenye mechi 103 katika kikosi chake cha huko Ukraine.

Makubaliano ya usajili wa Pauni 22 milioni yamefanyika na kwa kuwa Liverpool imemuuza Andy Carroll kwenda West Ham United, ina fedha za kutosha kumsajili mchezaji huyo.

Tottenham na Borussia Dortmund nazo zinamwania. Wiki iliyopita, mchezaji huyo hakufanya mazoezi na klabu yake kufuatia madai kuwa anaweza kuondoka haraka.

David Villa (Barcelona kwenda Spurs)
Tottenham imekuwa ikipigana vikumbo na majirani zake Arsenal katika jitihada za kusaka saini za wachezaji, lakini huenda ikaipiku kwa kumsajili David Villa.
Villa amekosa namba kwenye kikosi chake baada ya kupona maumivu ya mguu, sasa anataka kuondoka. Kuwasili kwa Neymar akitokea Santos kunafanya mchezaji huyo atafute mlango wa kutokea.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top