NDUGU ZANGU TUNAELEKEA WAPI???
Jamani ndugu zangu watanzania tunakoelekea nikubaya tena kubaya sana,maana kama tumefikia kupiga mateke vifaa maarum vya kutolea sadaka makanisani,sijui tunamaanisha nini napia tunaelekea wapi..ila hayayote nikutokana na uibukaji wa dini zaidi ya moja au yaweza kuwa nimoja ya utandawazi kitu ambacho kinapelekea kuibuka madhehebu zaidi kuzidi yale tuliyokuwanayo kipindi cha nyuma.
yote nimapito ya dunia ila napenda nimalize kwa kusema neno moja kwamba,wanadam tutazungukaaa mpaka basi ila dini ya KATORIKI NA ISLAMIC ndizo dini zitakazobaki zikiwa hai napasipo kuwa na longo longo kama tunazo zisikia uko kwa wenzetu.je nini kifanyike kutokana na hili tatizo linalotukabili hapa nchini Tanzania???????????????