Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

TATIZO LA KUVIMBA KWA MISHIPA YA DAMU WAKATI WA UJAUZITO.

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
             Tatizo la kuvimba kwa mishipa ya damu wakati wa ujauzito

Varicose Veins ni tatizo linalowapata baadhi ya wanawake wajawazito. Hili ni tatizo la kuvimba na kuvunjika kwa mishipa ya damu hasa hasa kwenye maeneo ya miguu na mapaja. 
Pia inaweza kutoka kwenye maeneo ya njia ya haja kubwa(Hemorrhoids/Bawasiri)Ili kujiepusha na hili tatizo ni vizuri kuongea na wamama na wadada katika ukoo au familia ili kujua kama hili tatizo liko katika familia.

Mama mjamzito anabidi ajitahidi kutokustress mwili kwa kutokusimama kwa kipindi mrefu. Kuongezeka kwa msukumo wa damu wakati wa ujauzito unaweka stress kwenye mishipa, hii pamoja na kuongezeka kwa hormone aina ya Progesterone inalegeza misuli ambayo inaweza kusababisha kuvunjika kwa mishipa. 
Hata kama hukupata hili tatizo wakati wa ujauzito upo uwezekano wa kupata hemorrhoids au vericose veins baada ya kujifungua. Badala ya kukaa kwenye kitu kwa muda mrefu, jaribu kukaa chini kwenye style ya kihindi yaani tailor sitting. (kama nilivyoelekeza kwenye maada ya mazoezi) Pia jaribu kuweka miguu kuelekea juu/elevated. Fanya zoezi aina la Pelvic rocking. 
Lala chini huku miguu ikiegemezwa juu ya kochi, kiti au kitanda huku magoti yamekunjwa. Relax katika position hii kwa dakika 10 hadi 15 halafu simama kisha piga piga miguu kwa mikono taratibu. Fanya mazoezi ya yoga ambayo yanafanya miguu ikae kwa juu, lakini hakikisha una mtaalamu wa kukufundisha jinsi ya kufanya haya mazoezi vizuri. 
Kuogelea na kutembea pia ni mazoezi mazuri yanayosaidia kukupa mzunguko mzuri wa damu. Unaweza pia kupata massage ya miguu kwa dakika tano kila siku. Usivae nguo za kubana, viatu virefu, jizuie kukunja miguu ukikaa, na kukaa kwenye kiti au gari kwa muda mrefu hivi vitu huzuia mzunguko mzuri wa damuKula vitungu vya kawaida na vitunguu saumu kila siku. 
Hivi vinasaidia mishipa ya damu kumaintain elasticity yake.Vitunguu vya kawaida na vitunguu saumu. Mboga za majani kama bamia  zitasaidia mzunguko mzuri wa damu kwa ujumla. Vyakula vyenye vitamin A, B, C, E vitasaidia kutengeneza kuponya mishipa iliyovunjika.
Usile vyakula vyenye au michuzi yenye pili pili au spices nyingi maana hizi zinaweza kusababisha constipation ambayo inaweza kuzidisha maumivu. Pili pili pia husababisha kutokwa kwa damu katika hii mishipa.aina ya pili pili zisizotakiwa kuliwaPili pili zisizotakiwa kuliwaVyakula vya Buckwheat, Oats na Wheat Germ husaidia kuimarisha mzunguko wa damu pamoja na mishipa yake.
 
BuckwheatOatsWheat GermUnaweza kuchukua Beets ukazisaga na kusteam hizi husaidia kusafisha maini na kusaidia usafishaji wa mwili na kupunguza stress kwenye mishipaBeetsUnaweza ukanywa vitamin E kuzuia na kupunguza hii mishipa iliyovunjika.

Mwanamke mjamzito asinywa zaidi ya 600 IU kwa siku kwa usalama wa ujauzito wakeVidonge vya Vitamin E Mitishamba mbali mbali itakayosaidia kuponya Varicose Veins:
Chai ya Oatsraw inasaidia kuimarisha mishipa ya damu. Kunywa kikombe kimoja au viwili kwa siku. Chai ya Oatstraw Nettle Tea husaidia kupanuka na kusinya kwa mishipa ya damu kwa ufanisi zaidi. Kikombe kimoja kila siku kuanzia ujauzito mpaka utakaponyonyesha kutasaidia.Chai ya Nettle Majani ya parsley yenyewe au hata chai yake inasaidia sana mishipa ya damu. 
Changanya kwenye salad au kunywa nusu kikombe cha chai kila siku.Majani ya ParsleyChai ya ParsleyUsinywe vinywaji au chai zenye Aloe Vera, Yellow or White Clover kwa sababu hizi husababisha damu kuelekea chini kitu ambacho kitasababisha kuongeza tatizo. 
Unaweza kunywa chai aina ya red clover badala yake.Kinywaji cha Aloe Vera Juice usinyweChai ya White Clover usinyweChai ya red clover unayoweza kunywaJinsi ya kuhudumia maumivu yatokanayo na Varicose Veins: Paka maji ya mtishamba wa Witch Hazel hii itasaidia kupunguza uvimbe na na kukaza mishipa. Paka maji ya majani ya Comfrey, Yarrow na Mullein itasaidia kupunguza maumivu na kukaza mishipa.
Maji ya Mulleinmajani ya mmea wa mulleinYarrowmmea wa Yarrowmajani ya ComfreyMaji ya ComfreySafisha mishipa yako kwa maji ya Oak Bark au Apple Cider Vinegar kupungza maumivuOak BarkMaji ya Apple Cider Vinegar
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top