MAGARI mawili kutoka kampuni ya Flying Cargo ya Arusha na Simba
Trucking leo alasiri yalifanikiwa kuinasua ndege ya shirika la ndege la
Ethiopia, Boeing 767 iliyokjuwa imenasa katika tope la uwanja wa ndege
wa Arusha.
Magari hayo mawili yenye winch T.897 APE na T. 958 AKS yalianza kazi hiyo saa 8.10 alasiri na kuiweka katika eneo la lami saa 9.02 alasiri.
Kabla ya kuvutwa, ndege hiyo ilikaguliwa na wakaguzi sita wa ndege kutoka nchini Ethiopia na wawili wa Tanzania. Itakaguliwa tena na huenda ikaruka kesho. --- [via blogu ya Beda Msimbe,