WATOTO 13 WAZALIWA SIKU YA MKESHA WA MWAKA MPYA 2014 IRINGA
Muuguzi wa zam katika Hospital ya rufaa ya mkoa wa Iringa Eda Sanga akimsaidia mmoja kati ya akina mama waliojifungua wakati wa mkesha wa mwaka mpya kumweka sawa mtoto wakeMuungauzi wa zam katika Hospital ya rufaa ya mkoa wa Iringa Eda Sanga alisema kuwa jumla ya watoto 13 wamezaliwa wakati wa mkesha wa mwaka mpya na kuwa kati ya watoto hao 7 ni wa kiume na watano wa kike na watoto watatu kati yao wamezaliwa kwa njia ya upasuaji na mama zao wanaendelea vizuri .