Salamu zangu kwako, ewe ambaye tunaenda bega kwa bega na kuakikisha kila kitu kinakuwa sawa kabisa.
Kwajina naitwa Mutalemwa Onesmo Juvenary William Byenjoju.
Mimi ndio mmiliki wa blog inayoitwa
http://mutalemwa-masgider.blogspot.com
ikiwa leo ni siku ya alihamisi, napenda kuwashukuru watu wote ambao wameniunga mkono katika sana hii ya kutoa habari kwa njia ya blog. Napia nitoe shukrani za dhati kabisa kwako wewe msomaji wa habari zangu, kwa sababu bila ya wewe mimi nisinge fika hapa maari nilipo sasa.
ila nawaombeni LIKE zenu kwenye blog yangu hii ya http://mutalemwa-masgider.blogspot.com ili iweze kufanya vizuri zaidi.
Mwisho kabisa naomba msamaha kwa yeyote yule ambaye nilimkosea kwa namna moja au nyingine ndani ya mwaka jana. Naomba nisamehewe kwa makosa niliyo tenda iwe nikwa mtu mmoja mmoja au kundi la watu wengi.
Ni hayo tu kwa siku ya leo, ila naomba nimalize kwa kusema kwamba nawapenda sana.
