Mbwa mwitu nikundi la vijana ambao wanajiusisha na kukaba na kupora watu nyakati za usiku. kundi hili linasadikika kuwa utembea wakiwa kwenye kundi moja au zaidi kulingana na mipango ya mashambulizi yao jinsi walivyo ipanga kuifanya siku iyo, wakiwa na siraha kama mapanga, visu, nyembe, pamoja na vipisi vya nondo.
kundi hili linawajumuisha vijana kutoka Mbagara, kipawa, kongowe, na maeneo yanayo zunguka jiji la dar-es-salaam.
ivi karibuni wananchi wa kipawa walifanikiwa kuwauwa vijana wawili wa kundi ilo la mbwa mwitu. ila cha
kusikitisha zaidi ni kwamba kati ya wale vijana walio uliwa na wananchi wenye asira kari, mmoja wao alikuwa ni mtoto wa mchungaji
baada ya tukio ilo la vijana wenzao kuuliwa, siku ya mazishi vijana hao wa kundi la mbwa mwitu, walipanga kufanya mashambulizi kwenye eneo la msiba, lakini jitihada zao hazikuweza kufanikiwa, kutokana na wananchi kuwai kutoa taarifa kwenye kituo cha police na ndipo, police waliingia mtaani kuanza kuimalisha ulinzi wa raia pamoja na mali zao.
.jpg)
